Wanene wakiugua wanakwenda India, S. Africa, Ulaya na kwingineko ali mradi kuwe nje ya nchi hii. Sisi wanyonge tukienda kwa babu Loliondo wanaanza kuleta mizengwe na kukataza watu wasiende huko eti kwasababu dawa zake hazina uhakika wa viwango vya ubora. Hivi wanataka sisi tufe ili wao waendelee...
Tukumbuke kwamba mara kadhaa watanzania tumekuwa tukitishiwa nyau na tunatishika kweli. Kuna kipindi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Dr. Idrisa Rashid aliwatishia watanzania kuwa taifa likiingia gizani asilaumiwe. Na hiyo ilikuwa baada ya jitihada za kutaka kununua mitambo ya Dowans...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.