Recent content by Deripaska

  1. D

    JamiiForums Tanzania 2025 atatoboa kweli!?

    Utaishia kuandika tu humu. Ila jogoo kabla hajawika kazi atakuwa kaimaliza 2025.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

    Labda asitake yeye mweyewe kuendelea lkn sio wewe wala binadamu yoyote anaeweza kumzuia asiendelee Endelea kuandika porojo zako tu humu
  3. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ni Wakati wa Kwenda na Lissu. Msisite, nina sababu…

    Naona Umerudi cdm, akiwa rais wa upande wako unakuwa ccm. Acha ukabila na udini
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

    Sawa boss. Tumekusikia.!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Waasi wa M23/AFC walalamika Tanzania kumkamata kiongozi wao aitwae Eric Nkuba na kumkabidhi kwa Serikali ya DRC

    Huyo ni Pro Kagame Hawezi kumsema vibaya
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wako ndio hivyo hivyo vipo NIDA!? Kama Jibu ni Ndio Kalipie elfu 20 NİDA na kuna fomu utazaja watabadilisha kwenye mfumo ID yako utabaki nayo na Namba ile ile
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana kiongozi
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu, umesoma kanuni zao!? Kwa kawaida huwa wanatafuta wastani written na oral
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapana, tusikate Tamaa Ipo siku yetu tu. Ukiitwa nashauri uende kufanya interview
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    [emoji28]sasa maana ya jina lako vinausiana nn? Au alitaka kukutoa kwenye mood!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ilikuwa utumishi au Bot hii!?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huko BOT ndio Balaa Written ilifanyika unaandika jina lako badala ya namba🥹
  13. D

    JamiiForums Tanzania AJIRA MPYA: Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuajiri wafanyakazi wapya 13,000

    Usisumbuke na watu Kama Hawa. Wao hawataka kusikia zuri lolote la Huyu mama. Wanataka mabaya tu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tarehe 11 mnafanya written watu 1000+ Tarehe 12 majibu ya written yanatoka Hapo kuna muujiza gani unafanyika kusahihisha na kupitia usahihishaji hadi majibu kutoka kwa wasahiliwa??
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Katibu Mkuu Mzee Kitenge muda mrefu hajaonekana! Yupo likizo ndefu au mgonjwa!??
Back
Top Bottom