Recent content by Derick Mj

  1. Derick Mj

    Bidhaa za Shacman

    Ningependa kufahamu boss unaulizia gari lipi sanasana hapo?
  2. Derick Mj

    Bidhaa za Shacman

    Habari Wapambanaji wote. Naitwa Derick Mtimba ni afisa mauzo wa Shacman Tanzania. Ninayo furaha kuwajulisha kuwa kampuni yetu inatoa aina mbalimbali za magari ya mizigo na ujenzi, yakiwemo: Tractor Head Tipper za ujazo tofauti Water Tanker Crane Truck Oil Tanker Mining Truck Refrigerator...
  3. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Zinapatikana Kwa bei ya 5.4 Million mpka 7 Million inategemea na model unayotaka.. Malipo ya awali ni 20% Muda wa mkopo ni kwa wiki 60 Marejesho ni kila wiki Riba kwa wiki ni 1.15% Marejesho huwa yana Range 107k mpka 120k kutokana na Aina na bei ya hiyo Toyo
  4. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Tunatoa mikopo ya Guta (3 Wheelers)
  5. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Tunatoa Tractor kwa namna mbili 1. Marejesho ya kila Mwezi Utatoa 25% mpka 35% ya thamani ya Tractor Utafanya marejesho ya kila mwezi kwa muda wa Miaka 3 2. Marejesho kwa misimu Utatoa 40% mpka 50% ya thamani ya Tractor na utalipa Marejesho kwa misimu ambayo wewe utahisi itakuwa ni kisimi...
  6. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Habari boss! Dump Truck Shacman Mfano: 190 Million Malipo ya awali 30% = 57 Million Rejesho kwa mwezi = 6,165,157 Total repayment = 273,245,665 Kwa muda wa miaka mitatu
  7. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Habari! Kwa mkopo wa gari kama ni mfanyakazi mwenye Employment contract malipo ya awali ni 20% mpaka 35% muda wa mkopo maximum ni 3 Years na riba kwa mwezi ni 2.35%. Karibu sana
  8. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Hapana boss, hatufinance Vifaa vya uvuvi
  9. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Yes boss tunafahamu changamoto hizo! Fika ofisini kwetu Mwanga Tower - Floor ya 9 Makumbusho kwa maongezi zaidi
  10. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Kuna kila aina ya mashine za kusaga zinazopatikana bila dhamana
  11. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Karibu sana
  12. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

  13. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Riba yetu ipo katika mfumo wa Reducing Balance
  14. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Yes boss! Kuna kila aina ya mashine unayotaka Hadi Tractor
  15. Derick Mj

    Mikopo bila dhamana

    Ufafanuzi kidogo. Mfano Coaster yenye thamani ya 45 Million Utatoa 11,250,000 kama down payment Marejesho kila mwezi ni 1,990,000 Jumla utakuwa umelipia 57,680,000 Kwa muda wa miezi 24 au Miaka miwili
Back
Top Bottom