Recent content by Deportivo la coruna

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye maslahi hata waarabu, wahindi, waafrika, n.k. hupenda kwenda kufanya kazi kwa wazungu hata kama ni dini tofauti ?

    Hao hao team iran wa jf ukimwambia chagua kati ya AFGHANISTAN,IRAN,SOMALIA,SUDAN, KAZAKHSTAN, BOSNIA HERZEGOVINA,PAKISTAN,YEMEN,UK,USA,ITALY, GERMANY,FRANCE,CANADA WEWE MWENYEWE NADHANI UNAONA HAPO, LAZIMA UVUE KANZU UVAE SUTI
  2. D

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    WE JAMAA UMEMALIZA, UZI UFUNGWE.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Hahahaha iran bana, mkuu wa nchi anaogopa kuongea kuonekana sura anatuma voicenote tuu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Ngoma inaenda kua ngumu sana Kwa sasa ni FRANCE,USA na ISRAEL
  5. D

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Haya majamaa yana akili? Unalipwa fidia kwani wewe hujaaribu vya watu??
  6. D

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Duh nacheki habari za nnje hapa naona wa iran wanakimbia nchi, iran itakua kama congo sasa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

    HII POINT KUBWA SANA, HATA HARAKATI ZIMESHAPUNGUA KABISA
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tokea niache kufuatilia vyombo vya habari vya Tanzania, mambo yamekuwa tofauti sana, kuna taarifa muhimu nazipata kwa kuchelewa

    Kiukweli nmeshangaa sana, leo ndio nimejua Denis ssebo wa EFM kumbe kafariki tokea jana? Duh! Nimepita sehemu wameweka TVE ndio nikaona. Imekua ngumu sana kujua maana ni muda mrefu sana sifollow page za tanzania, sisikilizi radio,channel naangalia za movie na za habari naangalia za Kenya,fox...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Wa iran wa chanika wanasema hao jamaa wanapenda kufa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Hawa jamaa wapo uchi sana, ku defence ni kwamba hawawezi au
  11. D

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Hapa marekan na Israel ingetakiwa washushe kombora hapa, ili hao makobaz wafe wKiwa mashahidi 🤣🤣 si ndio wanapenda hivyo kua mashahid
  12. D

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    🤣🤣🤣 Makobazi yanapelekewa umeme hadi raha
Back
Top Bottom