Recent content by Deomjamaa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Amonium Nitrate karibu na Kambi ya Jeshi, uwanja wa ndege Dar

    Mimi sikuwahi kujua kuhusu kuhifadhi Aluminum Nitrate lakini nilikuwa najiuliza yaani unaweka Container Freight station mbele ya Kambi ya jeshi, tena kwenye lango kuu la kuingilia, inakuwepo mbele ya Lango la Airport tena sio KM 2 kama mwandishi alivyosema pale labda 1km. Kiukweli kuna udhaifu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Shelves za madukani 280,000

    Kwanza taarifa yako ya bei haijakamilika?? Hiyo 280,000 ni kwa frame ngapi na je hiyo bei ni kila kiru kwako? Weka taarifa zilizokamilika ili kupunguza maswali mengi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa anayeijua NGO inaitwa AIDS Care Foundation, nahitaji kufahamu uhalali wake

    Tafadhali wapendwa, tarehe 22 Septemba niliona tangazo la ajira ya Field Officer katika NGO ya AIDS Care Foundation. Baadaye nilitumiwa barua pepe kwa ajili ya kuendelea na mchakato wa ajira. Hata hivyo, katika hatua hiyo nimeelekezwa kufanya assessment kupitia kampuni nyingine, na cha...
Back
Top Bottom