Niye wote hamjui chochote. Mimi nafanya kazi Tanzania Investment Bank hapa Dar es Salaam. Yaani mbona unamharibia jina la mtu hivyo? Mta pata laana kwenye maisha yenu. Kweli, uwe na hofu ya Mungu. Huyo Mtume Fernandes anatembea na Upako wa Mungu na ukifika kanisa lake ya Agape utaona Muujiza...
"TING wameshinda tuzo kuwa King'amuzi bora hapa Tanzania."
Mimi mwenyewe nimefurahi sana na huduma za TING. Natumia King'amuzi yao kwa miaka miwili na sina shida kabisa. Rafiki yangu Yusuph anafanya kazi TCRA pia yeye amesema ni kweli. King'amuzi Imara hapa Tanzania ni TING.
Wewe ferre.g ni mwongo, mbona mimi sina shida nao TING? tena nawatumia kwa miaka miwili. Una namba gani ya Customer Care? Mbona mimi nina hizi namba halafu wanitunza vizuri sana? Piga simu uone: 0684999230 , 0767999230, 0653999230 na 0655999354. Hivi wewe unapiga namba gani?
Nyumbani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.