Recent content by Deogracious mpotwa

  1. D

    POTOSHI Video ikimuonesha Rais Maduro wa Venezuela akikamatwa na wanajeshi wa Marekani

    Wakuu, Je hii video inayoonesha jeshi la Marekani likiwa pamoja na helcopter ni ya siku ambayo walienda kumkamata Rais wa Venezuela Nicolás Maduro?
  2. D

    Kupanda kwa nauli za Mwendokasi njia ya Mbagala

    Serikali imekuwa ikisisitiza matumizi ya CNG badala ya dizeli kwenye magari ya umma(MWENDOKASI) kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kulinda mazingira. Swali langu ni: ikiwa gharama za mafuta zimepungua kwa matumizi ya CNG, kwa nini nauli za usafiri wa umma(MWENDOKASI) zinaendelea...
  3. D

    SI KWELI Link inayosambaa ya kazi za TRC

    Je kuna uhalali wowote kuhusu link inayosambaa whatapp ambayo inamfanano na site ya TRC,Ikijumuisha nafasi mbalimbali za kazi katika shirika la TRC ususani SGR.
Back
Top Bottom