Recent content by DEO MAGULYATI

  1. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Dr. Slaa na waandishi wa Habari - Makao Makuu CHADEMA

    hapo sasa patamu jk jitokeze ujibu mapigo dr wa ukweli kamwaga sumu maccm mtajibeba cdm ndio tumain letu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Waraka wa tatu wa Lema kwa rais Kikwete

    Mh ni kweli kabisa kwamba hao wake za hao waliowahi kuwa viongozi wa ccm na wale ambao waume zao ni viongozi wa ccm mfano mh endrew chenge nae mke wake nimchaga nataka kujua mama chenge(kamando suzi)anajisikiaje?mh rais popote ulipo pamoja na washauri wako walipo tunawaombo ujumbe huu muusome na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mzee Salum: Sheikh Karume hakusaini chochote kuhusu muungano!

    Sasa ni bora lipasuke tugawane mbao..
  4. D

    JamiiForums Tanzania Seneta Amos Wako Kutoka Kenya: Msipuuze Maoni ya Wananchi

    Wasipokuwa makini hawa wana ccm yatawakuta yaliyowasibu wana kanu,nawasihi wasimamie masilahi ya wananchi wao na na sio maslahi ya chama chao.Kwa niaba ya wanachi ya kata ya mwaubingi (bariadi) napenda kumpongeza seneta amos kwa ushauri mzuri na tunaimani ushauri wake utafanyiwa kazi.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Binafsi nimshauri mgeni rasmi asiende kushambulia mwekiti wa tume ambaye hakika wamesimamia na kuyatetea mawazo ya wananchi na kama kweli katiba ni mkataba kati ya watawala na watawaliwa basi niwaombe watawala wayaheshimu mawazo ya watawaliwa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kutana na baadhi ya visible big hitter ndani ya CCM waliofanikisha kampeni za ubunge Kalenga

    Njalu silanga hana chochote ambacho anaweza kuwaeleza wana kalenga namushauri aje bariadi kusubili kichapo kutoka kwa mzee wetu aliyetukuka na akatukuka momose jonh cheyo.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Dr Makaidi na mkewe waondolewe bungeni

    Mkuu sio hao 2 kuna huyu mwenyekiti wa udp taifa kamuchukua mdogo wake kuwa mjumbe wa bunge la katiba
  8. D

    JamiiForums Tanzania JK azindua mabango ya kupiga vita mauaji ya tembo na faru kabla ya kwenda UK on Illegal trade

    Wamekusanya pesaa weee ndo waseme biashara haramu walikuwa wapi kukemea mapema?halafu anaenda uk kufuata nn au anaenda kuchukua mlungula wa mazao yatokanayo na tembo na faru wetu?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Meno ya Tembo: Jaji Werema kulishitaki gazeti la Daily Mail la Uingereza!

    Anataka kusema tembo hawauwawi ccm wamekaa kimya sababu wanakusanya pesa kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao tembo wanauawa,twiga wanatoroshwa ingali wako wahi,faru nao wanashambulia serikali imekaa kimya vyombo vya habari tza navyo havikemei sa mnataka dail mail...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Serikali Tatu: Warioba amvaa Gharib Bilal kwenye kikao, hali yachafuka...

    Serikali 3 kwa mustakaabali wa muungano wetu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar NI Nchi-Samia Suluhu

    Kwa kauli hiyo tunaitaka tanganyika yetu.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kinacho sababisha CCM Siku hizi kuvaa t shirt nyeusi

    R.i.p miccm,maccm,magamba...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya wanasiasa njaa(kila kitu ndioo...) ni tarehe 31\10\2015

    Pamoja sana kamanda
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaa
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe avunja sheria tena; Afanya mkutano wa hadhara Bagamoyo kinyume cha sheria

    M4C pamoja daima jinyonge maccm wezako waje wakuombeleze.
Back
Top Bottom