Kwa upande wangu, kabla hujaaza kufafa chochote lazima kwanza ujue changamoto zake, hasara na faida, iwe biashara, kilomo au ufungaji na uvuvi. ukisha jua changamoto hasara na faida, chagua unachoona utakimudu. Miti ya mbao ni mizuri ila na yenyewe inahitaji matuzo, kumbuka adui wa miti ya mbao...