Kamanda wa Anga Mh Mbowe hajawai kutuangusha. Ni kiongozi jasiri na makini saana. Amekuwa mbunifu siku zote na anawaweza magamba sawasawa. Asante kamanda Mbowe hakuna kulala mpaka makurunzinza waondoke.
Hawa magamba ni hatari saana. Hivi wanadhana tupo mfumo wa chama kimoja. Wakubali kushindwa waache figisufigisu zao za hovyohovyo. UKAWA LAZIMA WAONGOZE JIJI WANA MADIWANI WENGI ZAIDI YA 11. NI AIBU KWA CCM KUSHINDWA KUHESHIMU PRINCIPLES ZA DEMOKRASIA.
Waungwana wanasema usirushe mawe wakati umekaa nyumba ya vioo. Diallo, ccm na star Tv angalieni chuki na hasira mnayoeneza dhidi ya mabadiliko na Lowassa
Nilipoona Tangazo hili la Star Tv likinuhusisha Lowassa na Mwalim Nyerere kuhusu udini nilikua na maswali haya;
1: huyu mmiliki wa star Tv anajua kuna maisha baada ya uchaguzi?
2: hivi kwanini Star Tv wameamua kufsnya uchochexi unaojenga chuki na hasira kwa jamii?
3: hivi kwanini TCRA na Tume ya...
Nilipoona Tangazo hili la Star Tv likinuhusisha Lowassa na Mwalim Nyerere kuhusu udini nilikua na maswali haya;
1: huyu mmiliki wa star Tv anajua kuna maisha baada ya uchaguzi?
2: hivi kwanini Star Tv wameamua kufsnya uchochexi unaojenga chuki na hasira kwa jamii?
3: hivi kwanini TCRA na Tume ya...
Lowassa na WAKULIMA
Lowassa hapendi porojo amesema kauli mbiu zimekua nyingi. Amesema akishika madaraka baada ya kuchaguliwa atafuta kodi kwenye pembejeo zote zote za kilimo. Pia atafutilia mbali ushuru na tozo mbalimbali kwenye mazao ya kilimo ambazo hazina tija. Huyu ndie Lowassa watanzania...
Lowassa na Walimu,
Lowassa anakerwa kuona miaka nenda rudi walimu wanadai haki zao. Ameahidi kunaliza kabisa tatizo hilo, pamoja na hilo amesema kazi ya ualimu lazima iheshimiwe na walimu kupewa makazi bora, mishahara yenye akili na mazingira mazuri ya kazi. Huyo ndie Lowassa watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.