Lusinde alichojibu bungeni ni dharau kubwa kutokana na kawaida yake ya kutoa maneno na kauli zake chafu bila ya kuwa na staha anapozungumza katika kuchangia mada. Hii ni aibu kwa mbunge kama yeye kutafuta sifa kwa kutumia lugha zisizo na mipaka hata kwenye chombo kinachoheshimika sana duniani...
Hata wafanyakazi wao pia wanawaibia kwa kuwalipa ujira usiowiana na majukumu yao. Hivi sasa makampuni hayo yameanza kuleta wahindi kwenye idara kadhaa tena kwa kuwalipa vizuri zaidi kuliko wazawa na mwisho wa siku performance delivery ya wahindi hao ni very poor wakati wazawa wanahenyeshwa bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.