Recent content by dennistheodory

  1. D

    SoC03 Sifa kuu ambayo mwajibikaji anaendeshwa nayo ni hii

    . Sio kila mtu anaweza akawa mwajibikaji kama hajajua vitu muhimu ambavyo mtu mwajibikaji anapaswa kuwa navyo. Mtu mwingine hujaribu kuwa mwajibikaji kwa mda fulani, lakini kwasababu hajazoea hayo maisha, mbio zake huishia ukingoni. Kwa mfano, tukiwa mashuleni kwa wale ambao hawakuwa na tabia...
  2. D

    SoC03 Tabia ya uwajibikaji hutengenezwa ndani ya mtu

    TABIA YA UWAJIBIKAJI HUTENGENEZWA NDANI YA MTU Mara nyingi mtu anapopokea cheo au nafasi flani, kwa zile siku za mwanzo huanza kwa kasi ya ajabu, lakini muda unavozidi kusonga mbele, ile kasi inapungua, kwanini inakuwa hivyo? Kuna sababu nyingi ambazo hupelekea jambo hilo kutokea. Familia zetu...
Back
Top Bottom