Recent content by Dennis74

  1. D

    Computer4Sale Laptop inauzwa

    Lenovo ideapad 110-15IBR RAM 4GB HDD. 500GB PROCESSOR. duo 1.6Ghz Battery >3 hrs Bei 380,000 📞 0767353674 Dodoma.
  2. D

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Kabla hujaanza kufuga samaki Kuna mambo au hatua muhimu na za msingi kuzijua kama vile 1.uwe na Eneo lisilo na migogoro ya matumizi ya maji na ardhinikimaanisha eneo liwe lako na lisiwe na migogoro yoyote ya kugombea ardhi ama maji 2.Uhakika wa Maji safi, salama na yakutosha kwakua ndo uhai wa...
  3. D

    Ufugaji samaki kibiashara

    0767353674
  4. D

    Ufugaji samaki kibiashara

    Cost ya nin mkuu? Mana cost inategemea huduma gan wahitaji , kuna vifaranga,chakula,ushauri ufugaji samaki,
  5. D

    Ufugaji samaki kibiashara

    Karibu tukuhudumie masuala yote yahusuyo ufugaji samaki ,kuanzia Elimu ya ufugaji samaki, mbegu Bora ya vifaranga wa samaki na chakula Bora cha samaki.karibu shambani kwetu kongowe-kibaha . Pia waweza tufollow kwenye page yetu ya Instagram @ufugaji_samaki_kibiashara.
  6. D

    Maarifa ya ufugaji samaki kitaalamu

    Kama wewe ni mfugaji au una mpango wa kuanza mradi wa ufugaji samaki ,sasa unaweza kupata vifaranga vya samaki aina ya kambale kwa bei poaa kabisa ya sh 400. Pia tunatoa elimu ya ufugaji wa samaki maji baridi, tunatengeneza chakula cha samaki (powder),tunasimamia utengenezaji wa mabwawa pamoja...
Back
Top Bottom