Habari zenu ,nilikuwa naombeni ushauri juu ya kibadilisha jina la kwanza kwani jina hilo limetumika kwenye cheti cha kuzaliwa na nimesomea nalo shule ya msingi pamoja na sekondar japo kuwa matokeo ya kidato cha nne ayakuwa mazuri.
Sasa naitaji niingie QT nisome tena hila naitaji kubadili jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.