Recent content by Denice12

  1. D

    JamiiForums Tanzania Jambo hili linaweza kuleta shida kwenye ajira?

    Habari Wana forums, Nina changamoto moja, niliitwa kufanya interview polisi kwa majina ya nida mfano Shabani ngosha Husein ila kwenye vyeti vyangu ni Shabani Husein ngosha. Na selection limetoka jina la kwenye vyeti na kesho naripoti shule ya police. Sasa nimefuatilia afdavit na deedpool...
Back
Top Bottom