Watanzania wenzangu, hasa vijana, jikiteni kwenye kuzitafuta fursa. Achana na siasa vijana wenzangu, acheni kutumia mitandao ya kijamii kutoa maneno yasiyo mazuri kwa viongozi. Kumbuka Mungu anatutazama, ipo siku utaeleza kwanini ulitumia maneno hayo ya matusi na dhihaka.
Mama Samia ni Mtulivu...
Yaani unakuta kazi inataka Degree ya HRM unafika na cheti chako cha Degree na Matokeo yake, Watumishi wa Secretariate wa Ajira wanakuzuia kufanya usaili eti mpaka ulete vyeti vyote vya ngazi ya Diploma na Certifcate.
Sasa pia inapotokea labda umewapa cha Diploma na hivyo vingine vya level ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.