Recent content by DENICE ADRIAN

  1. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa shuguli haiwez chukua masaa 24 hzo n siasa tu.
  2. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni takriban siku ya tatu sasa mkoa wa Morogoro tupo gizani mara baada ya kituo cha kusambaza umeme kuwaka moto, sijaona TANESCO wakija na mbadala wa kuhakikisha tunapata umeme au kutueleza kuwa tutakaa gizan kwa muda gani, mwenye taarifa tafadhal tujuze.
  3. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Basi gani linafika mapema kwa safari ya Dar es Salaam - Mwanza

    Darlux iko poa sana hutajutia safar
  4. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua vyuo vya private vinavyotoa Diploma ya Ualimu wa sayansi sekondary

    Wana jf naombeni kwa yeyote anaejua au anaesomea au aliesomea diploma ya ualimu wa sayans sekondar anitajie vyuo vya private vinavyotoa hyo kozi.
  5. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo kinachotoa higher diploma ya ualimu wa sayansi, iwe private au govnment

    Morogoro TTC, Kleruu TTC, Kasulu TTC
  6. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo kinachotoa higher diploma ya ualimu wa sayansi, iwe private au govnment

    Nina div. 2 ya pcb ya mwaka 2016. Natafuta chuo wanachofundisha diploma ualimu wa sayansi. Je nitapata wapi chuo na je nitakubaliwa? Msaada plz
  7. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNVERSITY

    Santee
  8. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNVERSITY

    Msaada plz
  9. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNVERSITY

    Kwa yeyote anayesomea hkmu md naomba anitumie namb ake.au kama una mfahamu mtu anaesomea pale HKMU naomb unipe no. Ake
  10. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Kwa waliochaguliwa St. John's University of Tanzania

    Vp kwani wameshatoa majina? Au wanawatumia sms? Kama st.joseph
  11. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyopo AJUCo

    Vp kwan ajuco washatoa majina kwa walioomba degreee????
  12. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in optometry inahusu nini jameni....??

    Ndo tuseme huo ni udaktari wa macho kama ilivo dental sugary ambyo ni udaktari wa meno????
  13. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in optometry inahusu nini jameni....??

    Msaaada jameni hii bcs.optometry ya kcmc inahusu nn?
  14. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania St.JOSEPH COLLEGE OF HEALTH

    Hv ni kwl st.joseph collegw of health wameshaanza kuwaatarifu kwa sms wanafunzi waliochgliwa hpo kwa coz za degrii???
Back
Top Bottom