Recent content by Dendu isaya

  1. Dendu isaya

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuandika s?cript za Series yaani filam zenye muendelezo

    Nashukuru sana kwa mchango wako sasa swali langu linabaki episode moja inatakiwa iwe na scene ngapi?
  2. Dendu isaya

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuandika s?cript za Series yaani filam zenye muendelezo

    Habarini, ndugu mimi ni muandishi wa script za movie ninaejifunza.Nimepata changamoto ya kujua.Jinsi ya kuandika script za Series yaani filam zenye muendelezo.Ninapenda kujua vitu vifuatavyo; 1.Series inatakiwa iwe na episode ngapi ili ikamilike? 2.Je kila episode inatakiwa iwe na scene ngapi...
Back
Top Bottom