Recent content by demisexual

  1. D

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Nimekumbuka mwaka 2014 nikiwa mwanafunzi pale OTP mbeya tulipangiwa makundi ya kuenda kwenye medical community bahati mbaya nilipangiwa group tofauti na demu wangu mmoja ivi ila wote tulipangiwa wilaya moja... Demu uvumilivu ulimshinda alibidi anifate adi kwenye kijiji ambacho nipo bahati mbaya...
  2. D

    Tumeachana lakini huwa najisikia vibaya kuona anashida

    Ni mwanamke ambaye nimeishi nae zaidi ya miaka miwili lakini tulikuja kuachana kwa fujo sana kutokana na tabia alizo zianzisha na kusababisha kushuka sana kwa utendaji wangu wa kazi sababu nilikuwa bado namuhitaji lakini ndo ugomvi sana. Nikaamua kukubaliana na hali maana alikuwa kashapata...
  3. D

    Ufadadhili wa Masomo ya Uuguzi na Ukunga

    Wakubwa shikamoni wadogo wenzangu habari zenu mimi ni mwanafunzi wa uguuzi na ukunga katika ngazi ya diploma. Niliamua kusitisha masomo kutokana na kukosa ada ambayo nilijichanga kama kijana lakini kutokana na changamoto nimeshindwa kumalizia mwaka wa tatu naomba kama kuna mtu yoyote ana...
  4. D

    Naomba ufadhili wa kumalizia diploma ya Uguuzi na Ukunga

    Mimi ni mwanafunzi wa diploma uguuzi na ukunga katika chuo cha afya jijini Mbeya niliamua kuarisha mwaka wa tatu kutokana na changamoto za ada maana kama kijana nimejitahidi sana kupambana maana ada nilikuwa najilipia mwenyewe mwaka wa kwanza na wapili ndo nikaanza kupata changamoto. Naomba...
Back
Top Bottom