sema kuna watu hii dunia empty mind kabisaaaaa,vikundi 7 mmeungana kuipindua serikali sasa mkishaipindua serikali what next mtabaki na muungano wenu au mtaanzana wenyewe kwa wenyewe?
haiwezekani zivunjwe shule ili mje kupaki vi paso na vi ist vyenu watu wenye magari yenye thamani kuanzia mi50+ ndo wadai parking nyie wengine mnaleta jam mjini parking yenu iwe nje ya kkoo
mzee tangu 2024 ndo unaomba msaada leo!!!
wewe mwenyewe mbona kama haupo siriaz?
na nyie pigabet lipeni hela za watu,watu mda mwingine hawali wanawachangieni nyie pesa maisha yenu yanaenda lipeni hizo m27 au mje mumlipe jamaa m100 kama fidia MAZAFAKA matapeli...hizi kampuni zingine ni matapeli...
unachosema ni kweli ila kinahusiana na pande zote tatu...imean kama wengine watakaa pembeni na kukataa kusaidia upande wowote basi hata USA kuna mataifa hawezi kusimam nazo,kwasababu ukitaka kupiga direct kwenye ardhi ya marekani lazma kuna nchi hapo zitapambana kuzuia mashambulizi dhidi ya marekani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.