Recent content by Delivery Man

  1. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Acha tuzungumze Boss....nahitaji pesa . Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Nisamehe sana mkuu wangu hakika sio wewe nimechanganya hizo username.....Naomba niwie radhi chief. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Kitandaa kilishauzwaa boss. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Lipo Boss,kariibu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    "Amina" Asaante chief. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Nauza vitu vingi Boss Spark ili nipate pesa ya kutatua changamoto iliyo mbele yangu sasa kiongozi wewe umepoint hiyo receiver na kudondoshaa negative comment nimeona hujatenda haki boss. Anyway ni Jamiii forums hii hatupangiani cha kukoment Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Ni kwelii boss ni za muda mrefu,na sijaziweka sokoni ili nimpige mtu...after all hizo receiver ni za muda mrefu lakini kuna dish hilo na pia kuna LNB ambazo ndio hizo hizo zinazotumiwa na Azam,dstv nk.. Mnunuzi wa hilo dish lnb 2 na receiver old school mbili kwa laki moja mbona ni very...
  8. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Wadauu hizi bidhaaa bado ninazo wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Habari za siku nyingine tena ndugu zangu wa Jamii forums,kwangu mimi hapa ndio sehemu pekee nayotegemea kufanikisha nalopambania ambalo liko njee ya muda kutokana na kutofikiwa gharama hitajika. Hizi items bado ninazo Laptop hp intel core i5 7th Gen 8GB of Ram na 500GB hard disk bei 500k Samsung...
  10. Delivery Man

    Prof. Mkenda, waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2023 kutoka shule ya msingi moja wote wamehamishiwa sekondari moja

    Mwaka huu alijafanyika hilo kwa shule nyingi mno..kwa mfano wanafunzi wote wa Almuntazir girls wamehamishiwa form one Jangwani,wanafunzi wotee waliofanya mtihani St Augustin primary wamehamishiwa buguruni moto sekondary ukiangalia aina hiyo ya selection haiko sahihi kabisa. Sent using Jamii...
  11. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Wakuuu wangu hizi bidhaa bado zipo hazijachukuliwa. Laptop hp core i5 7th Gen 500k Amazon kindle reader 200k Samsung tablet 10.1' with flip cover 350k Humidifier 100k Foldable aluminium tent 400k Franklin wireless router 50k Samsung laser jet printer ( imetumika kwa muda mchache sana imenunuliwa...
  12. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Asante mkuu,ilaa nilipofikiaa sina tena ujanjaa wa kusubiriaa...Nitakuchukua kilicho mbele yangu.
  13. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Okk chief njoo uchukue nahitajii sana hii pesa na muda wa kusubiria ahadi za wadau umeniishia Nicheki hapa mkuu 0713498825
  14. Delivery Man

    INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

    Mkuu niongezee only 30k Njooo uchukue aisee...nimefikia point of no return sasa.
Back
Top Bottom