Recent content by Deka D

  1. Deka D

    TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Ujinga tu. Unalipwa Buku 7
  2. Deka D

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Pole pole jana umechemsha sana kiasi kwamba heshima kwako imepungu sana ulishindwa kukutetea hoja zako kabsa. Jipange tena
  3. Deka D

    Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Manyerere yaani ww unatama kumiliki hili jukwa pekee yako? Yaan taarifa ya kujiuzuru kwa Muhongo ww ndo una hati miliki ya kutangaza hilo suala au?
  4. Deka D

    Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Mzee kakubali mahazimio ya bunge na amekubali kujiondoa ofisin. Je nani bado hajajiuzuru kwa mapendekezo ya bunge?
  5. Deka D

    Ukweli kuhusu ESCROW

    Mkuu nimejitania tu mie sio wa ukoo wa panya bna. Just understand the truth. Hauitaji kwenda shule. Soma report zote na ata kauli ya mkuu. Si mtetei ata kidogo ila ndo ukweli.
  6. Deka D

    Ukweli kuhusu ESCROW

    Habari ndugu wanachama wa jf. Natumai kuwa kila mtanzania anaifahamu taarifa za account muhimu ya Escrow-tegeta. Nashukuru kuwa Mh.rais amechukua hatua kwa baadhi ya watumishi wa umma. Mfano prof.tibaijuka tayari hayupo kwenye baraza la mawaziri. Lengo kuu la kuelezea ukweli kuhusu Escrow...
  7. Deka D

    Kati ya mambo yanayomuua prof. Muhongo ni hatua zake dhidi ya ufisadi wa siku nyingi wa nimrodmkono

    Sawa kama ameikata ni vizur. Na hili la prof.muhongo kusema pesa za Escrow Ilikuwa hazina chembe ya pesa za umma nalo unamtetea? Nani kamua professa wa watu...? Hv ni kweli msomi anasimama bungeni kwa ubabe kuwa pesa sio za umma? Leo hii unasema kauwawa... na nani? Watu wanakufa na hawana...
  8. Deka D

    Kati ya mambo yanayomuua prof. Muhongo ni hatua zake dhidi ya ufisadi wa siku nyingi wa nimrodmkono

    Sijakuelewa bado.. sasa ebu unganisha ulichotaka kusema na husiano prof. Muhongo a.k.a Escrow broker. .. then tupate picha ya hao magambazi wote ili tujue nani anaiua nchii hii.
  9. Deka D

    Kutoka Zanzibar: CHADEMA yawa agenda ndani ya CC ya CCM

    Hello wana janvi..! Habari nilizozipata nikuwa cc ya chama cha mapinduzi wako katika wakati mgumu wa maamuzi juu ya kumvua uwanachama mzee wa monduli. Katika kuonyesha kuwa hilo linawezekana mjumbe mmoja alijenga hoja ya kumvua uwanachama mzee huyo kwa kutumia mfano wa CDM kumvua uwanachama...
  10. Deka D

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Leo ktk uchaguzi wa s/mitaa CDM imeshinda lakn cha kushangaza matokeo yametangazwa saa saba usiku kisa kuhesabu kura mgombea wa CCM kila wakati alitaka zoezi la uhesabu liludiwe tena na tena... yaan nashukuru sana vijana hawakulala mpaka kimeeleweka. Pia mtaa wa makonde mbezi CDM...
  11. Deka D

    CCM yazidi kutumia mbinu chafu dhidi ya upinzani

    Hello wana jef. Poleni na shughuli za kujenga taifa. Nawapongeza UKAWA kuwa na msimamo wa dhati zidi wachache wanao linda mamlaka yao. Narudia tena katika historia ya dunia hii tunayoishi hakuna utawala au dola iliyoishi milele. Nazidi kuwatia moyo wazalendo wachache kuwa mabadiliko yanakuja...
  12. Deka D

    AG WEREMA aomba MSAMAHA KWA KAULI YA KIBAGUZI KWA WAZANZIBAR

    Baada ya muongozo wa spika kuhusu kauli ya AG werema ya kuwadharau Wazanzibar.. Hatimaye ameshauriwa kuomba msamaha na kabla ya mh.spika kuhisitisha kikao amempa nafasi AG kuomba msamaha. Amekili kuwa alijiachia bila kujipanga kujibu hoja za muhusika.
  13. Deka D

    IPTL saga: Siri Imevuja, Mwigulu na Zitto Kabwe Kaa la Moto... Ndio waliolipua!

    Mwizi huyoooo mnataka kupindisha ukweli.. ukweli wa mambo mtauona juma lijalo kwenye gazeti moja wapo hapa nchini... mleta story ni mmoja kati ya wezi za pesa hizo.
  14. Deka D

    Warioba Anataka Nini Hasa?

    Tofautisha uwelewa wa mzee wako na mzee warioba then utapata jibu lakn jilinganishe ww na hampery polepole... utaona tofauti ya ujana wako..
Back
Top Bottom