Recent content by deisy

  1. D

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    kama vijana tunaotegemewa na taifa la kesho tunaongea pumba zote hizo kweli bado hatujakomaa kisiasa, hivi kwa nini hatuthubutu kuhoji nani huyu Zainab Kawawa ambaye CV yake by far amezidiwa na Angela na hana long experience kwenye ufanyakazi je huyu mnamwona anafaa? Bahati ya mtu msiilalie...
Back
Top Bottom