Recent content by Deicon

  1. D

    Tuwalaumu vijana kwa hili ama Serikali ?

    Usaili wa walimu unaoendelea Tanzania ni kizungumkuti kwa sababu ya hoja mbalimbali kama zifuatazo; 1. Usaili sio wa haki na usawa kwa sabab unajumuisha wasailiwa wa miaka yote tokea 2015. 2. Hakuna kiwango maalumu cha ifaulu, Kwa mfano aliyepata 64 Geography amebebwa, aliyepata 72 kiswahili...
  2. D

    Tume ya Utumishi Zanzibar inaajiri wasio na sifa

    Hata uwe na vigezo kiasi gani, kama huna connection Zanzibar hutoboi. Mfano mdogo ni ajira za hivi karibuni kuna jamaa alikuwa na G.P.A zaidi ya 3.8, vyeti vya ziada ikiwemo computer na interview zote mbili kafanya vizuri ila katemwa.
Back
Top Bottom