hello jf
Nina miaka 27, kijana wa kiume, mkazi wa dsm , elimu yangu ni shahada ya uhandisi, mrefu wa wastani , pia mwili wangu ni wa wastani na rangi ya kunde.
napendelea mpira wa miguu, kuogelea na muvi.
situmii pombe, sigara wala sio mtu wa club za usiku
mimi ni mkristo, kabila yangu mjita...