Recent content by Deepwater

  1. Deepwater

    Nahitaji Mke

    PM pls if ur serious,this is for those who are in need
  2. Deepwater

    Nahitaji Mke

    Naomba uni pm tafadhali charminglady.
  3. Deepwater

    Nahitaji Mke

    Nahitaji mke ambaye atakuwa tayari kupima Ukimwi,mimi nina umri wa miaka 44 nina watoto 2 na nimeajiriwa,ninaye muhitaji naomba awe na umri kuanzia miaka 39 mpaka 42,awe mfayakazi wa kuajiriwa au mfanyabiashara mwenye mapato ya kuridhisha,asiwe na watoto zaidi ya 2.Lengo la kuwa na kipato...
  4. Deepwater

    Natafuta Simu ya Nokia Asha ya kununua .

    Iko 70,000/=mkuu Sam pizzo ni pm tufanye biashara!
  5. Deepwater

    Blackberry Curve inahitajika!

    Nina hitaji Blackberry kwa anayeuza pls ofa yangu ni 100,000/=
  6. Deepwater

    Mpenzi anataka nisinyoe

    Wadau mpenzi wangu anataka nisinyoe maeneo kisa kazi yangu ni ya kusafirsafiri ana wasiwasi nita cheat,nimevumilia sasa naona nywele zimekuwa nyingi mpaka imekuwa kero,msaada jamani nimwambie nini ili anielewe kuwa mimi namheshimu kwani kila nikimwambia nipunguze hata kidogo hataki!
  7. Deepwater

    Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    Jamani nimepatwa na tatizo la kusahausahau mara kwa mara,kwa anayejua nitumie dawa gani ili hii hali iniondoke au kupunguza!
Back
Top Bottom