Recent content by DeepPond

  1. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Rostam Ni mpambanaji haswa, ana mengi ya kuwamotivate WaTanzania hasa vijana WA wanaojitafuta, Bahati mbaya wengi hawapati upande wake wa pili wa stori, zaid ya kuskia habari zake mbaya TU zilnazoenezwa Kila Kona. Jamaa amekua na influence sana na serikali, Hadi wawekezaji wa ndani wamepata...
  2. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Tatizo liko wapi mtanzania mwenzetu akifanikiwa na akatamani tufanikiwe sote? Hivi unaona ni sahii tuwe na WaTanzania waowekeza nje na kutajirisha nchi za kigeni na Sio humu ndani?
  3. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Huenda Wewe ndio humchukii bakhresa, Ila wapo wengi humu, Kila aliefanikiwa ni adui yao
  4. DeepPond

    Adakwa na lita 60 za mkojo ndani

    Mkojo uliolala una urea nyingi Sana, Urea ni mbolea na kirutubisho muhimu sn kwa mimea almost yote duniani, hasa mbogamboga Zamani sana, Kila kukikucha tulimwagia mkojo uliolala kwenye Miche ya mihogo kabla ya kuipanda. Siku ya kuvuna, Unavuna muhogo mkubwa haswa
  5. DeepPond

    Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Mwamba anatema madini mno
  6. DeepPond

    Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Tatizo Watu waona umaskini ni sifa
  7. DeepPond

    Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Pesa tamu asikwambie mtu, Mtu Yuko bungeni tangu 95 na Bado anangaa
  8. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Ndo Tatizo lenu hilo wanasiasa, Kila anaeongea zuri Basi kalipwa. Mi sio mwanasiasa Wala uwezi kunikuta nikishabikia Wala kuchangia siasa zenu kule jukwaa la siasa. Nmeongea Kama mtanzania WA kawaida mwenye mawazo chanya ya kimaendeleo
  9. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Ishu ni ROSTAM kufanikiwa? au ishu ni ROSTAM kufuja rasilimali za nchi? Mbona wazungu wamenufaika na rasilimali zetu na hamjapiga KELELE? Au ni dhambi mtanzania kumiliki migodi na biashara kubwa kubwa nchini? Sasa sote tukiwa maskini, Ni nani atamsaidia mwenzake?
  10. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Nilivomskiliza ROSTAM, Kwa jicho na kimaendeleo, Rostam ndo wale marafiki uwa napenda Sana kua nao karibu, kuwaskiliza wakizungumza Ndo Wale marafiki ambao wakizungumza, unaona kabisa uyu jamaa ni smart, Ana vision Kali ya fursa , na ana kiu Kali SANA ya kukua kiuchumi na kwenda mbali Sana...
  11. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Vijana wanaroho za kimaskini sana
  12. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Tatizo wengi mna chuki zisizo na mashiko, Kumchukia tajiri haiwezi kukuondolea umaskini ulionao WaTanzania tunapaswa kubalisha Sana hii mindset
  13. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Rostam aziz Yuko smart Sana, Ile interview kiukweli imenimotivate Sana, Inabidi watz tuache roho za Kwanini, Ifike hatua tufurahie mafanikio ta mtanzania mwenzetu, na sio kujenga chuki.
  14. DeepPond

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Suala la mtandao, Ambalo ndo lilikua linasubiriwa Kwa hamu, jamaa kalifafanua vema kabisa na kakiri kweli yeye ni mwanamtandao. Tukubali tukatae, wanasiasa ndio nguzo za wafanyabiashara wengi duniani. Nchi zinazojielewa, wafanyabiashara ni partners WA wanasiasa (yaani utengeneza mtandao) ili...
Back
Top Bottom