Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
Sawa nimekuelewa broh lakini tatizo lipo kuwa tumetenenezewa mantiki ya kwamba tusome ili tuje kuwa na maisha mazuri na kuambiwa kuwa asie soma anakuwa na wakati mgum we unahisi tatizo lipo wapi je kwetu vijana tunaohitimu au mfumo mzima wa malezi toka kwa wazazi hadi ngazi ya elimu?
Habari zenu jaman mi ni mwanachama mpya. Nilikuwa naomba kuuliza ivi wale wanaofanyaga uchunguzi wa udongo ni walisomea course gani chuo naombeni mnijuze hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.