Recent content by deejaydux80

  1. deejaydux80

    Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

    Fact na kuunga mkono kama ntakosa nywele au kucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. deejaydux80

    Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

    Namba A ni nzuri kuliko E, E ikiharibika unatupa haitengenezwi ila A ukarabati ni simple tu. Zimwi likujualo...... [emoji3578]
  3. deejaydux80

    Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

    Tuliachana tukiwa na mtoto 1 but now tupo vizuri baada ya kurudiana na tuna ndoa na watoto watatu, makosa tuliapa kuwa hatutorudia na ni kweli we are in fire [emoji91] of love [emoji7] not love fire [emoji91] get me.... Ex mtamu haswa ukimrudia
  4. deejaydux80

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naona kuna MADINI ya vyuma chakavu nami ndio ugonjwa wangu wakubwa
  5. deejaydux80

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kwema humu ndani
Back
Top Bottom