Samahani naomba kuuliza kama kuna mtu amefanya transfer yake ya mkopo na vipi ameshapata mlejesho wowote maana me nimefanya transfer loan officer ananiambia nisubiri tu. Asante
Duh sasa kama mwanzo nilichaguliwa kwenye course ya accounting and finance lakini nikahamia chuo kingine nikasoma accountancy pekee it means wataninyima?
Habari za muda huu wadau
Samahani naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu na maswala ya transfer ya mkopo je huchukua muda gani mpaka kukamilika na mnufaika kupatiwa pesa alizopangiwa kwa mwaka husika?
Mimi nimefanikiwa kupata asilimia kidogo sana ya mkopo katika batch number two ila kutokana na...
Seaman tembo first year, Naunga mkono hoja yako kiongozi kiukweli hakuna atakaye sema chuo chake si bora ila tu ni muhimu kufikiria je huo ubora uliopo kwenye chuo ninachosoma utanisaidiaje mimi kujikwamua kiuchumi au ndo nitasoma tu then nikimaliza nirudi nyumbani na vyeti kibao halafu nikae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.