Recent content by Debs3

  1. D

    JamiiForums Tanzania Naanzaje biashara ya kuuza vyakula vya mifugo?

    Wale wenye uelewa kuhusu hii biashara, nifungueni macho
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naanzaje biashara ya kuuza vyakula vya mifugo?

    Mkuu mtaji nilionao ni 1M...naomba mawazo kama una idea yoyote kuhusu hii biashara
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu biashara ya kuuza na Kubadilisha gesi

    Hizo namba ndo zile hlizotoa juu au hizi ni nyingine tena? Oilcom wanakupa information ya kuhusu upatikanaji wa gesi na bei zake au info gani mkuu?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naanzaje biashara ya kuuza vyakula vya mifugo?

    Wadau, Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza vyakula vya mifugo mfano pumba, dagaa, damu, mashudu ya alizeti na ya pamba n.k. Nishaurini nianzie wapi, mtaji mzuri ni kiasi gani, na vitu hivi navipata wapi kwa bei nafuu. Nitawashukuru sana
Back
Top Bottom