Recent content by Debora Charles Kiyuga

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Angewezaje kuaminiwa kushika nafasi ya uenyekiti kwenye Jumuiya za EAC na SADC kama hana mahusiano nao? Na kiufupi tu Jumuiya kama ya SADC inajumuisha nchi 16 zenye takribani watu milioni 300, au ulitaka aende Ulaya pekee ndiyo useme kwamba ana Uhusiano wa kimataifa ??
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika uhusiano wa Mataifa

    Hakika ni Magufuli tena 2020, watanzania wameamua kuchagua maendeleo yanayoletwa na Chama Cha Mapinduzi.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Miaka Mitano ya Magufuli Serikali imeimarisha uhusiano na ushirikiano na Mataifa ya nje pamoja na taasisi za kimataifa. Hii ndiyo sababu Serikali iliweza kupokea viongozi wa nchi na Taasisi mbalimbali za kimataifa, ikiwemo Vietnam, India, Uturuki, Afrika Kusini, DRC, Ethiopia, Misri, Rwanda...
Back
Top Bottom