Recent content by deblabant

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliona mbali sana kwamba ni kheri Slaa kuwa rais kuliko Tundu Lissu

    Kwani mi mwanasheria au wakili? Au siku hizi kila mtanzania ni mwanasheria. Ndo mana kila mtu ni mchambuzi in favor of Lisu. Sheria haziko hivyo ndugu yangu. Subilini uamuzi wa majaji ili anyongwe vizuri
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliona mbali sana kwamba ni kheri Slaa kuwa rais kuliko Tundu Lissu

    Jamaa amekabidhiwa chama majuzi tu lakini kimeshinda yeye siasa kwake ni kurumisha mitusi mwanzo mwisho. Kwake hakina pont of consensus hata kidogo. Inawezekana ana akili ya darasani ili hekima zero. Alichapwa risasi 32 mama akaenda kumtoa huko ughaibuni kwa kumhurumia na baada ya kufika...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Situation Overview ya kisheria ya ushahidi wa Defence toka kwa shahidi DW5 Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Tanganyika Mh John Wegesa Heche

    Ushahidi anayeweza kuutafsiri ni jaji hawa wengine ni wapiga kelele tu. Tusubilie jaji atataffsiri vipi. Huyu mwingine ni kelele tu la sivyo angekuwa jaji yeye
  4. D

    JamiiForums Tanzania Situation Overview ya kisheria ya ushahidi wa Defence toka kwa shahidi DW5 Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Tanganyika Mh John Wegesa Heche

    Sisi hatuangalii uchambuzi bali tunaangalia final decision. Huwa hatuangalia machenga mengi uwanjani bali tunaangalia magoli yaliyofungwa. Huo ni mtazamo wake na majaji pia wanao mtazamo wao kwa hiyo wait and see. Dont preempty the judges. Aliyeandika maklaa hii anaweza kuwaanajifariji...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Well done wakili mbobevu Nassoro Katuga

    Endelea hivyo hivyo na ufala wako
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tumseme vibaya Magufuli kwa yote na mimi sijawahi kua mufuasi wake ila ukweli ni kua Magufuli hakua anaupenda sana Urais kama Samia

    Lile li shamba lilikuwa limeshaandaa mazingira ya kuwa life president Mungu akasema no. Siku ya kifo chake nikunywa bia nyingi kwa furaha. Liliharibu nchi mno. Limtu lilukuwa halina maarifa kabisa lenyewe ni kufokafoka tu utadhani litaahira
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Daktari aliyempiga Polisi usalama barabarani hajulikani alipo

    Tuko naye hapa tunamalizana naye then tutamuachia soon akiwa malinda hana
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu anapendwa sana? Hata wenye CCM yao pia wanampenda?

    Nani anampenda lisu zaidi ya watu maskini wasuojua namna ya kutengeza hela? Wao kila tajiri ameiba
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki hapa Tanzania aliyekuwa na hekima kuliongoza ni Askofu Pengo tu wengine ni mipasho tu

    Endeleeni kupigwa sound na hawa maaskofu mnaowaona kama miungu yenu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki hapa Tanzania aliyekuwa na hekima kuliongoza ni Askofu Pengo tu wengine ni mipasho tu

    Rejea protocali wakiwa maaskofu wote wamekusanyika. Anayetajwa wa kwanza ni kadinali kumaanisha ndiyo top of all
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki hapa Tanzania aliyekuwa na hekima kuliongoza ni Askofu Pengo tu wengine ni mipasho tu

    Kwa jpm mbona hamkulalamika alifikia mpaka kuwashut ridasi aakina lisu hadharani na akawakimbiza akina lema nje ya nchi na akina mbowe. Ngoja awanyooshe mlifikia hatua ya kumdharau
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki hapa Tanzania aliyekuwa na hekima kuliongoza ni Askofu Pengo tu wengine ni mipasho tu

    Inateggemea ni usomi gani. Huu wa theology ndo usomi gani ambapo huajiriwi popote
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki hapa Tanzania aliyekuwa na hekima kuliongoza ni Askofu Pengo tu wengine ni mipasho tu

    Nani Nani kauza bandili nyie machizi? Semq uelewa wenu finyu na maaskofu wenu. Lini uwekezqji ukawa uuzqji? Rudini shule msikali hqyo ma theology halafu mnajiita wasomi. Hata diplona tu ya kujua investments nini nayo imekuwa shida
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki hapa Tanzania aliyekuwa na hekima kuliongoza ni Askofu Pengo tu wengine ni mipasho tu

    ALikuwa na hekima mingi sana. Hatatokea kama Pengo
Back
Top Bottom