samahani wadau naomba kujuzwa kuhusu pikpiki ipi nzuri kwenye biashara ya bodaboda kati ya hizi hapa;-
1. Sanlg
2. Tvs
3. Boxer
Nasubiri kutoka kwenu jamani asanteh.
Hii hapa nimeielewa binafsi maana tusikurupuke kusema katumia pesa ya taifa kumbe kipato chake yeye mwenyewe.
Ingine ni kwamba mtu hawezi kushindwa kufanya jambo kisa atasemwa kwamba katumia pesa ya umma.
Yeye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania
Lakini yeye huyo huyo ni binadamu mwenye kuhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.