SIOI SUMARI ALITOSWA NA VIGOGO WA CCM MKOA, WILAYA, WAFUASI 61 WA CHADEMA WATIWA MBARONI, WADAIWA KUVUNJA KIOO GARI LA KAMANDA WA POLISI
MAMBO mengi zaidi yamezidi kuibuka kuhusu uchaguzi wa Arumeru Mashariki uliomalizika juzi, baada ya taarifa kusema kuwa aliyekuwa mgombea CCM, Sioi Sumari...