Recent content by De Lima Nascimento

  1. D

    Wajue Wafilisti/Wapalestina

    Swali zuri sana hili mkuu, mimi mwenyewe nashangaa sana sijui ni MUNGU wa aina gani huyo wa kuagiza watu wauawe, labda hao Wapalestina hawakuumbwa na yeye.
  2. D

    Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

    Alishasema yeye anatumia kauli ya upole na maelekezo yake anayatoa kwa kuomba lakini ndiyo anamaanisha. Tumpe muda jamani, bado mapema sana kuanza kumhukumu
Back
Top Bottom