Ukweli gani kama sio kuongea pumba na hujui hata undani wa kile kilicho mezani?
Wewe huwa una akili ila hujui hata namna ya kuzitumia katika context fulani.. Yaani huwa unaendelea utoto sana.
Wewe nilisha kwambia usije ukazama kwenye anga zangu na upuuzi wako wa kudanganya vijana humu..
Go to hell, mimi sio wa kuchezewa..
Kama huna hoja ya msingi pita kushotoo.
Kama mada uko beyond awareness kaa kimya
Usimtetee mtu mwingine kwa kuleta ujinga wa kudanganya umati kupitia mental illness na wakati unajua huna uwezo wa kupambanua mambo by lack of awareness
Kama hujui kitu kaa kimya.
Wewe Nakwambiaje, huo upuuzi wako wa kuleta negative vibes rudi nao ulipotoka. Wewe ndiye nyumbu kwanza huna hoja, hujui hata what we're talking about..
Usifikiri kila mtu ni nyumbu wa kukubali bs zako humu..
Wewe kama huna cha kuchangia kaa pembeni usilete visingizio na negative energy humu... Siku hizi watu tunajua juzi filter vizuri sana... So stay your lane, Fata mambo yako
Wewe lazima utakuwa na shida!
Na unaweza kuta ni kweli hela ya biashara unakula raha na boyfriend wako..
Nyie watoto wa kishua huwa na matatizo na kudeka sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.