Watu sometimes ni kama wanyama tu wasipo jua kuhimili hisia. Na zama hizi ile humaness inazidi kupotea. Hata kama umeumizwa kiasi Gani, you can't just ignore hands that raised you
Mkuu Kuna mengi nimepitia na kama ulivyosema, Huwa hisia kabisa, ila nikwambie tu kama ni ndugu waliokulea, inabidi usemehe na hata kufanya mawasiliano maana hii kitu hata tusijidanganye, wao pia waliumizwa. Hakuna anayeumiza mwingine pasipo historia. So kukata mzizi wa chuki ni kuanza kuona...
Hakika mkuu maumivu ya familia ni makubwa. Ila hayatoki hata ukimbie... Mimi naona ni Bora kusamehe, kuwapenda na kuwasaidia upatapo nafasi.
Kuna regrets mbaya sana Huwa inapatikana ukiwapoteza mazima. It haunts you your whole life
Hiki ndicho chanzo na kiini Cha hayo yote. It starts and ends on a family level. Wazazi Huwa wanafanya mambo kukidhi trauma zao, baadae watoto wakianza ku act weird wanaanza kushangaa.
We dada hayo maumivu is part of life. Na sometimes karma is to be faced not avoid. Mateso na chuki ulizopitia sio kigezo cha kuwakataa nduguzo? Hao ndo waliokulea, waliokulisha, waliokuvisha mpka kufikia Leo. So be kind, don't let your ego win.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.