Kila chuo kinachangamoto zake hakuna chuo kilichokamilika cha msingi izo hoja zako zifike sehemu staiki ili chuo kichukiliwe atua
.
.
Kulalamika bila action ni bure
.
.
Sio wanafunz wote wapo humo
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Wakati mwanamke anakaribia period kuna hormones nyingi zinatengenezwa moja wapo ni prolactin hormone kazi yake ni kustimulate milk production.. I hormone inazalishwa Kabla mwanamke aja bleed lengo ni kumtengenezea mtoto maziwa kama uki conceive .. Ayo ni kwa ufupi ila kuna maelezo mengi zaidi hapo
Ilo sio tatizo la kutisha ni hari yakawaida kwa mwanamke kuna kitu tunakiita physiological change utokea kwa mwanamke wakati yupo period ni kipi... During period mwanamke anazalisha hormones nyingi moja wapo ni prolactin hormone I hormone kazi ni stimulate milk production.. Iyo hormen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.