Recent content by De black

  1. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuhama chuo kikuu baada ya kusoma semister/mwaka wa kwanza?

    npo Mbeya university nataka kuhamia TIA
  2. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuhama chuo kikuu baada ya kusoma semister/mwaka wa kwanza?

    Habari wakuu.. Naomba mwenye kujua anisaidie,mm nasoma chuo kimoja hv kozi ya BBA,lakn nmekutana na changamoto znazonkwamisha katika masomo yng sasa ngependa kujua je inawezekana kuhama chuo baada ya mwaka wa kwanza?na ni taratibu zipi nifuate?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuhama chuo kikuu baada ya kusoma semister/mwaka wa kwanza?

    Ndugu wakuu,naomba msaada hapa,nilichaguliwa chuo kimoja hivi katika kozi ya BBA,,lakn nmektana,na changamoto ngum na kwa sasa nafikiria kuhama chuo katika mwaka wa pili,,je inawezekana?na kama inawezekana nifanye taratibu zipi?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa mbeya university of science & technology (must) hapa

    wakuu hta mm nko MUST,ila kna ukwel wwte kwa hli la kwmba hostel chmba kmoja knachkua watu 8??
  5. D

    JamiiForums Tanzania Reporting date for Mbeya Institute of Technology first year applicants for bachelors please

    Join instrct tayar,pitia website yao uidownload
  6. D

    JamiiForums Tanzania Join instruction must imetoka!!

    Jaman,wale wa MUST join instruction tayar imetoka,pitia www.mist.ac.tz kuidownload
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mbeya university of science and technology

    tarehe ya kuripot n tar 20/10 ndo orientation inaanza so waweza pitia www.mist.ac.tz kwa info zaidi katka join instruction
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mbeya university of science and technology

    Mi nmechaguliwa busness admin,ila cjajua join itakua ln?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada join instruction ya mbeya university&reporting date

    Wakuu naomba yeyote mwenye taarifa ya undergraduates wa must lini wanatakiwa kuripot pamoja na join anijuze
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mbeya university of science and technology

    Wakuu naomba mwenye taarifa ya lini chuo hiki kitatoa selectns za undergraduates pamoja na tareh ya kuripot tafadhal anijuze
  11. D

    JamiiForums Tanzania Jkt ipo kama kawaida......!!

    SWALI; kwa wale wa CBE ambao walianza kuripot 15 aug(kma sijakosea) watatolewa vyuon waende jeshi awamu ya tatu au???
  12. D

    JamiiForums Tanzania AMUCTA wameachia sasa

    Karibuni sana tabora...Mtatkuta wazee wa tumbaku tumejaa tele!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa TEKU tukutane kwa hapa.

    mkuu naomba namba yako maana nmechaguliwa must
Back
Top Bottom