Recent content by dazbache

  1. D

    Cheka na dinazarde

    It's a joke note a quiz question people. Stop trying to give answers... u r supposed to laugh if u get the joke that's all
  2. D

    Tahadhari kutoka Utumishi kuhusu Utapeli wa Ajira na Mikopo

    Hii inaitwa dhihaka kwa serikali. Nafikiri tatizo ni pamoja name ukweli kuwa hao matapeli wamepata hizo namba za simu mahsusi kwa shughuli hiyo ndio maana hawana wasiwasi. Wanajua taarifa walizozitoa wakati wa kuzisajili ni za kupotosha pia. Bahati mbaya tuliamua kutumia utaratibu wa kusajili...
  3. D

    Jiji la Mwanza

    Kitumbo naona hukumwelewa mtoa mada...katika upande wa starehe yeye haendi disco wala sehemu yoyote "outdoor" ...."nikifika hotelini tofauti na mishe mishe zangu mda wote nimelala" ...akimaanisha kwa wiki moja alikuwa na muda wa kutosha sana kutongoza na kutafuna kiasi cha kumwezesha kufanya...
Back
Top Bottom