Recent content by daydreamerTZ

  1. daydreamerTZ

    Je, kampuni yako ipo salama? Usipuuze hili!

    1/ 📢 KWA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA! BRELA imetoa tamko rasmi kuwa kampuni zote zinapaswa kuwasilisha taarifa za umiliki wa mwisho wa faida katika kampuni (Beneficial Ownership Information). Muda wa mwisho: 15 Aprili 2025. 🚨 2/ Hili ni hitaji la kisheria chini ya Sheria ya Makampuni...
  2. daydreamerTZ

    Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    Mkuu naomba nitumie whatsapp screenshot za tatizo lako 0629706263 pole sana
  3. daydreamerTZ

    FREELANCER WA ZANZIBAR ANAHITAJIKA

    Habari wanaJF NInahitaji mtu mwenyeji wa zanzibar, awe anauelewa kidogo na taaratibu za kiserikali zanzibar. Call 0693410889
  4. daydreamerTZ

    MBONA GALAXY A SERIES ZOTE FB NI 250K?

    MOst wao ni matepeli mkuu, unakuta A55 inauzwa 250k kwa box, ukimcheki atakupa namba uende kariakoo, ukifika atajifanya ametoka ngoja akuunganishe na dogo wa stoo, watakuweka barabarani ukiwasubiri iliwakusome kama washawahi kukutapeli, kama sivyo basi atafika hapo na mtaanza safari ya kuenda...
  5. daydreamerTZ

    Jinsi ya kuongeza jina la biashara kwenye TIN number

    Ndiyo kaka 0693410889 nikusaidie
  6. daydreamerTZ

    Natafuta gazeti la Habari Leo la tarehe 04/08/2024

    Nipo vijijini huku Mvuha, nitajaribu kuagiza kesho asubuhi Asante sana
  7. daydreamerTZ

    Natafuta gazeti la Habari Leo la tarehe 04/08/2024

    Habari ndugu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye gazeti la HABARI LEO la Leo tarehe 04/09/2024 anisaidie jambo. Nimepoteza vyeti vyangu vyoye vya elimu hivyo ilinipasa kuandaa tangazo kwenye gazeti na Leo ndiyo siku tangazo hili limetoka lakini kwa bahati mbaya nikapatwa na msiba hivyo...
  8. daydreamerTZ

    Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    0692633255 piga simu kwa msaada zaidi
  9. daydreamerTZ

    Njia gani naweza kupokea fedha kutoka nje ya nchi?

    Sasa hivi nimejua njia ya kutumia WISE hii bwana mtu anaweza kukutumia pesa kutoka nje kuja kwenye bank account yako, na makato na fees zinatolewa kwa anayetuma kwahiyo ww unapokea kiasi chako kama kilivyo na ni ndani ya masaa 24 ya kazi. Check app yao google play store
  10. daydreamerTZ

    Sajili jina la biashara bure leo

    hakuna gharama za kila mwezi mbn unazungumzia mambo usiyoyajua, nakudanganya kupi wakati nimeweka taarifa zote kuwa utalipia 20,000/= , nikisema Bure namaanisha hakuna gharama ya kazi Kwa wale waliokwama kusajili , Mkuu tafadhali usikurupuke Tena , Asante sana
  11. daydreamerTZ

    Sajili jina la biashara bure leo

    Upo sahihi boss, Asante
Back
Top Bottom