kimsingi sensa huwa ni kujua idadi wa watu,mali zao,pamoja na mahitaji ya msingi ktk jamii.Nitofauti na inavyotarajiwa watu hupoteza muda wa kuhesabiwa kwa mwamvuli wa kuja kuwa saidia hususan huduma za afya,barabara,maji,umeme,shule safi,kuboresha bei ya chakula,nk.Kwamba huduma hizo zote...