Kwani sialishazikwa au atarudi?jifunze kukubali mkuu sio kila siku magu magu amshakufa kama wafu wengine na hana uhusiano na sisi tena hivyo jifunze kumetegemea Mungu ndio hata kufa,ulimtegemea Magu Kama Mungu cheki sasa unabaki kulaanilaani utafikiri kuna mtu alimuua
Nisiongee neno sana nikatenda dhambi ila matokeo ya la saba ukiangalia shule za umma zinasikitisha yaani kuna moja kati ya watoto mia120 mwenye gredi A ni mmoja tu.Waalimu wa serikali please tuko chini yamiguu yenu,Msifanyeivyo tena ni mjini sio ya mashambani Karma inarudigi,jitumeni msiwafanyie...
Rais yeye hajawahi kusimama Mahala popote na kusema Nimefanya au Nitafanya siku zote tunamsikia akisema Serikali itafanya au tutafanya au tumepanga kufanya 123,Mara nyingi Machawa Kama wewe ndio mnamuwekea maneno mdomoni mara amemwaga mipesa sijui kaupiga,yeye anawacheki2
Yaani ni hivi Kama unataka chakula cha mserereko nenda kalime uweke stock yako ndani tena Bashe uyouyo kakufanyia Mbolea 70000,ila Kama Shamba uwezi tafuta pesa ununue chakula kwa bei iliyoko sokoni hakunanamna Broo
Hakuna cha globalist wama mamake na nini,hapa mchawi mkubwa ni CCM tu tena na bado kama hatutasema ifike mahali hiki chama kongwe kipumzishwe tutazungukia hpohapo mpaka yesu arudi hao jamaa hawanaga maarifa wala maono ya miaka hata 10 mbele wao huwaza namna ya kudhibiti akili kubwa zenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.