Recent content by davismwaisemba

  1. davismwaisemba

    Hivi siwezi kupata application kwa ajili ya kufuatilia biashara yangu ya miamala?

    Mbona kiingereza kingi alafu platform yenyewe hatuioni na namna yakuipata
  2. davismwaisemba

    Naomba kufahamu changamoto katika usafirishaji kwa wafanyabiashara

    Kutengeneza app ni kazi ngumu sana, utaenjoy mwanzoni unapoanza carrier lakini kadri siku zinavyozidi kwenda na kutengeneza project kubwa akili inachoka sana kwasababu kazi ya kutengeneza software ni kazi usiofanya kwa uzeofu kwasababu kila project ina namna yake ya kuitengeneza na pia inabidi...
  3. davismwaisemba

    Naomba kufahamu changamoto katika usafirishaji kwa wafanyabiashara

    Ndio. Ila nataka kuweka usafiri mbalimbali kama boda, toyo kirikuu, na canter kwaajili ya mizigo mikubwa zaidi. Pia kuwe na uwezakano wa kurequest kusafirishiwa kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine
  4. davismwaisemba

    Naomba kufahamu changamoto katika usafirishaji kwa wafanyabiashara

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni mtaalam wa kuunda software za simu na kompyuta. Natamani kutengeneza mfumo wa logisitics/delivery ambayo itagusa kila mfanyabiashara ambaye biashara yake inafanya delivery ndani na nje ya mkoa husika. Sijaona mifumo inayogusa maeneo hayo moja kwa moja...
  5. davismwaisemba

    Gharama za kukodi mnara

    Ohh asante sana mkuu
  6. davismwaisemba

    Gharama za kukodi mnara

    Habari zenu, Kuna technology mpya ambayo niko kwenye process za kuikamilisha ila ninahitaji kufunga antenna juu ya mnara ili system iwe katika efficiency kubwa. Naomba kwa anayefahamu bei za kufunga antenna zikoje.. Kwa mfano Tigo wakitaka kufunga antenna kwenye mnara wa airtel ni kiasi gani?
Back
Top Bottom