Recent content by davinho

  1. davinho

    LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

    Aliyekwambia RPC alijaribu kumwokoa Mwangosi nani? maana taarifa za habari ambazo waandishi wenzie wa habari ndo mashuhuda wa mauaji hayo, mmoja wao akihojiwa amesema wakati Mwangosi anapigwa kwa virungu na mateke, yeye alikimbilia gari la RPC kumsihi azuie vijana wake wasitishe kumshambulia...
  2. davinho

    LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

    Kumuua mtu kwa kiwango kile haiwezi kuwa bahati mbaya... Mwangosi amekufa kifo cha kimkakati... Bahati mbaya ni Ile mikakati ya kijinga kabisa kiasi kwamba hata mtoto anajua hili ni la kupanga. Familia ya Mwangosi isimame kidete ikisaidiwa na wataalamu wa sheria na haki za binadamu kudai haki.
  3. davinho

    Kwenu Waandishi wa Habari na Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania...

    Tunahitaji wasomi jeshi la polisi, watu watakaofanya maamuzi kwa busara na kwa kuzingatia sheria na haki za msingi za watu. Sio maroboti ambayo yanaendeshwa kwa rimoti. Ni ajabu sana wanawakandamiza wananchi ambao wanazinduka, na kimsingi ambao wanataka mageuzi kwa njia ya amani, tena mageuzi...
  4. davinho

    Rais wa Malawi Awananga Waandishi wa Habari wa Tanzania

    Kimsingi pale ikulu tumefeli. Anyway, tunaendelea kujipanga kwa ajili ya kuweka kichwa chenye tija zaidi... Ishu ya kuwa na waandishi wa habari majuha, sio ya kushtua sana... ka mnavyojua, tuna watu majuha zaidi na kwenye sehemu nyeti kiasi kwamba huamini kuwa kesho yake bado nchi ni yetu...
Back
Top Bottom