Recent content by Davinc

  1. Davinc

    Déjà Vu inathibitisha binadamu tulishawahi kuishi maisha tunayoishi leo tangia kale

    Mkuu mbna MI naona km hyo ni lucid dream coz Unalala af unaota ndoto then cku unakutan na Hali kam unakumbuka kuwa nlishawah kuota ndoto ya namna hii mda mwingine unafany tukio Af unaona kam ulshawah kufany lkn hukumbk ni wap
  2. Davinc

    Ulimwengu na elimu ya Namba

    Aaaagrr huelewek mkuu umetoa Mada af inaishia juu kwa juu tupe na maana yake sasa
  3. Davinc

    Mabara 6 yenye Binadamu kwanini origin ya mtu mweusi ni bara moja tu? Je matatizo ya bara hilo yanatokana na laana?

    Habarn za humu wana jf naomba wejuz wa mamb wanfafanulie kdg ni kwann yesu awe mwisrael na wanafunz wake wote na Israel mungu akaibarik kuwa taifa teule la mungu lkn ajabu kwann baba mtakatifu makao yake makuu ni Roma na si Israel alipozaliwa yesu?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom