Recent content by Davies John

  1. Davies John

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    Ni mifumo ya kubeba na kurusha rokect nyingi kwa mkupuo. BM-21 mrl 122mm ni mfumo mwepesi(light) wa kurusha rocket nyingi unaweza kurusha rocket mpaka 50 Km. BM-27 mrl 220mm ni mfumo wa wastani(medium) wa kurusha rocket nyingi,unaweza kurusha rocket kutoka 0.5 mpaka 70 Km. BM-30 mrl 300 mm...
  2. Davies John

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    Kunguru hao waoga kauli za mtu muoga BM-21 silaha ndogo sana na hata FARDC pia wanazo zingepelewa BM-27 na BM-30 si wangekimbia hovyo ila BM-21 zinatisha pamoja na udogo wake na zilichangaia sana ushindi wa vita vya Kagera.
  3. Davies John

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    Ni silaha ndogo ila ina mvumo unaoogofya unaoleta mawenge.
  4. Davies John

    JamiiForums Tanzania Israel wametoa ofa ya ajira 100000 kwa Malawi🇲🇼

    Hata hapa Tz wamejaa kibao mahouse girl na mahouseboy kwenye majumba mengi tu na vibarua mashambani.
  5. Davies John

    JamiiForums Tanzania Namibia: Serikali yaweka wazi kuwa Rais Hage amekutwa na Ugonjwa wa Saratani

    Daah safari ameshaianza.
  6. Davies John

    JamiiForums Tanzania Umeme ni maafa ya taifa- Afrika kusini

    Cyril ameharibu sana uchumi wa Afrika Kusini kuliko marais wote weusi walimtangulia.
  7. Davies John

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KDF yashindwa kuwafukuza M23 huko DRC, Rais wa DRC achukizwa kwa udhaifu wa KDF

    Na wasije kujiloga kupambana na M-23-RDF Soldiers watakufa kama kuku watapata aibu kubwa sana vita hawajui wale, alafu waogawaoga hawana morali.
  8. Davies John

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KDF yashindwa kuwafukuza M23 huko DRC, Rais wa DRC achukizwa kwa udhaifu wa KDF

    Jeshi dhaifu sana EAC, (poor training and poor discipline army)
  9. Davies John

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananchi wa Goma wataka Jeshi la Kenya kuondoka Goma

    Tatizo lao siasa nyingi.
Back
Top Bottom