mambo vp.
nakushauri uwe unatumia mda wa kutosha kunawa na sabuni asubuhi mchana na jioni kuweka ngozi safi, kutokunawa vizuri sabuni ikibaki inasababisha harahara/chunusi. ukinawa hakikisha sabuni yote imetoka usoni. hiyo ni tiba ukizingatia pia km ngozi yako niya mafuta sana usipake mafuta...
hello Dr. Sajjad
Baba yangu ni mzee wa miaka 90, uzito ni 48kg, kipindi cha baridi au akipigwa na upepo njee huwa anasumbuliwa na kifua kinapiga filimbi na kukohoa sana usiku, tukienda hospital huwa tuu wanampa dawa za kawaida za maji, kwa saivi anatumia ZECUF,ila pia alishatumia ya asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.