Recent content by DAVIDSON

  1. D

    Mtaji million sitini(60,000,000) biashara gani?

    Nadhani ombi langu hapo juu lipo crystal clear ndio maana wachangiaji hapo juu wameweza kuchangia mawazo yao. Lakini km utakuwa makini lengo la biashara /investment yeyote huwa ni ku gain profitable returns.Hadi charitable organisations zina lengo hili. Back to the point: Haijalishi mchango wako...
  2. D

    Mtaji million sitini(60,000,000) biashara gani?

    Ndugu wanajamii,kwa kifupi nategemea kupata mkopo toka Bank moja hapa Dar essalaam kwa kuweka nyumba yangu kama collateral(security). Original business idea ilikuwa ni kufungua nursary ambayo baadaye inge turn into secondary school.Lakini kwa mtazamo wa haraka,naona kama hii biashara...
Back
Top Bottom